📢 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO YA PRE–FORM ONE 2025
🎓 Mafunzo haya yanajumuisha: âś… Masomo ya msingi ya kidato cha kwanza: âś… Masomo ya Ufundi kwa mtaala mpya wa AMALI (Competency-Based Education and Training): 📆 Muda wa Mafunzo:Kuanzia 15.09.2025 hadi 19.12.2025 đź•’ Ratiba: Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 1:30 asubuhi hadi 8:00 mchana📌 Ada ya Mafunzo: 30,000 kwa mwezi kutwa na 120,000 kwa Bweni📍 Mahali:…
